Coctail party ya DMV Old Friends ikiendelea siku ya Jumamosi July 16, 2016 Ellicott City Maryland nchini Marekani.
Joha Nyang'anyi akipata ukodak moment.
Mwanakamati Joyce Mshana akipata picha ya kumbukumbu.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mambo ya Eddah na mapishi yake.
3 comments:
Imependeza sana. Hongereni
Nice Looking guys
Safi sana, imependeza sana, haya je mtafanya tena nyingine?
Post a Comment