Advertisements

Monday, May 30, 2016

TASWIRA YA MEMORIAL WEEKEND BBQ NEW YORK JITIRIRISHE HAPA CHINI KIROHO SAFI!

 Mzee Lukas Hapo kwenye vitaru vya Tanzania House, Mt Vernon NY. Watu walikula nyama kunywa sambamba nu music kutoka kwa Dj Bilal. BBQ hiyo iliandaliwa na Vijana wa New York kwa usimamizi wa Vick, Justin na Roger vijana wanaitaji pongezi kwa kufanikisha shughuri hiyo iliyokutanisha Watanzania na familia zao. 

Watanzania wakipata kitoweo Kwenye BBQ hiyo.

Warembo wakipata ukodak kwenye BBQ,  kwa picha zaidi nenda soma zaidi




Mwenyekiti wa New York Tanzania Community Silyvester Mwingira akipata kitoweo


Mwenyekiti wa Tawi la CCM New York Bwana Seif Akida akiwa ameshika sahani ya kitoweo.


1 comment:

Anonymous said...

WABEBA BOKSI MNAJIACHIA.....