Advertisements

Monday, May 30, 2016

Hasheem Thabeet atua Dar kimya kimya


Idris Sultan akimuonesha kitu Hasheem wakiwa kwenye tamasha la Nyama Choma Jumamosi iliyopita

Akiwa NBA Hasheem alichezea timu nne tofauti zikiwemo Memphis Grizzlies (2009 – 2011), Houston Rockets (2011–2012), Portland Trail Blazers (2012) na Oklahoma City Thunder (2012–2014).

Pia amechezea timu zingine za ligi ya chini, D-League Dakota Wizards, Rio Grande Valley Vipers na Grand Rapids Drive.

Katika misimu yote tisa aliyowahi kucheza, Hasheem alikuwa na wastani wa pointi 2.2, 2.7 rebounds, na 0.8 blocks kwa kila mchezo. Tafsiri yake ni kuwa mchezaji huyo hakuwa na mafanikio sana kwenye ligi hiyo

5 comments:

anonymous said...

What team does he play for now? Does anyone know?

Anonymous said...

tafsiri yake mchezaji wetu huyu hakuwa na mafanikio kabisa katika NBA alilojia Marekani ni ubishoo tu aangalie Wacongo kina Bismark Biyombo na Ibanka wanavyoojituma-so sad wallahi

Jay said...

This guy was simply useless. Aende Tanzania kwa mbwembwe nani ampokee wakati yeye mwenyewe anajuwa kuwa watanzania wameshamponda. Waafrika kibao in the NBA are making it big ila this guy uswahili ulimtawala sana kichwani. Alifikiri urefu tu ndio utampa jina, kumbe hollaaaa!

Anonymous said...

afadhali maana atue kimya kimya maana ameleta aibu. No 2 pick ending up being a loser. ungekuta ni milionea Tanzania sasa hivi inafanya ya maana. wakati wenziwe walikua wanapiga zoezi la kufa mtu alikua anakimbilia vitumbua nyumbani. Hashim bonge la disappointment.

Anonymous said...

Jamani si vyema in my view to be gleeful at the failures of others. Granted this guy was arrogant and out of touch with his community. Nonetheless since he was invariably identified as a Tanzanian that itself was a source of pride for me.

Mengine ni matatizo ya malezi. He had this sense that everyone wanted to ask him for money even those who didn't have to! What a pity and what foolishness to suspect everyone as a beggar after your money! However, I would rather have him in the NBA than having no Tanzanian at all.