Advertisements

Friday, May 20, 2016

BREAKING NEWS:ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR, WILLSON KABWE AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu. 
 Aidha, inasemekana tangu April 19 mwaka huu alisimamishwa kazi na Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu. 
 Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Kabwe amefikwa na mauti akiwa nchini India kwa matibabu. 

 Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu. Amina

1 comment:

Anonymous said...

Mku wa mkoa PM JE Utahudhuria msiba huu mkubwa na unaneno la kutoa!