Advertisements

Monday, February 1, 2016

PICHA ZINGINE ZA SAFARI YA MWISHO YA UNCLE GEORGE SEBO


Geneza lililobeba mwili wa marehemu mpendwa wetu uncle George Sebo.

Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Marekani Wilson Masilingi akiwa na mkewe Marystela Masilingi wakihudhuria ibada ya kumuaga marehemu George Sebo  iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 30, 2016 katika kanisa la  Evangel Cathederal , Upper Marlboro, Maryland.

Mke wa marehemu Aunty Grace Mgaza (kati) akifuatilia ibada ya kumuaga mpendwa mume wake marehemu George Sebo.

Abdul Sebo mwenye tai Mtoto wa marehemu wakiwa kanisani.

Aman na Amina wakihudhuria Ibada ya mpendwa uncle George.

Familia ya wakiingia kanisani.

Watanzania wakijumuika pamoja katika ibada.

No comments: