Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo Jumatano February 4, 2016. PICHA NA IKULU
1 comment:
kwa vile wewe si malaika na uanaweza kufanya makosa, tunaomba kuwe na chombo cha kusimamia makosa utakayofanya mhesimiwa rais,
Post a Comment