Advertisements

Saturday, August 29, 2015

TASWIRA ZA UKAWA JANGWANI JIJINI DAR!

Wananchi wakiwa kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar.
Wananchi wakiwa kwenye Viwanja vya Jangwani jijini Dar katika uzinduzi wa kampeni wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa. GPL

1 comment:

Anonymous said...

Haki sawa iwepo ndani ya NEC kwani tatizo lililokubwa ni wao kujichukulia mamlaka ya kutangaza mshindi haraka bila ya kutafakari kisa kulazimisha! Budi kuwepo na uhakiki wa hesabunkamilifu pande zote za vyama husika. HAKI SAWA WANA NEC!!