Advertisements

Friday, July 24, 2015

Jitiririshe matokeo hapa chini Wema alivyogalagazwa na wanawake wenzie kwenye kura za maoni CCM labda ahame chama na yeye.

4 comments:

Anonymous said...

Ningeshangaa. Hata hao waliompatia hizo kura wana walakini.

Jay said...

Ni bora arudi bongo muvi kuchezewa, hatutaki bunge la watu wasio na kitu kichwani kwani dunia itatucheka mno.

Anonymous said...

Muosha uoshwa, malipo ni hapa hapa dunia ahera nihesabu tu

Anonymous said...

Bongo bana, eti kigogo wa ccm kampeleka kugombea. Huyu msichana mpaka lini atakuwa anategemea maisha ya kuchuna. Afadhali dangote diamond alimwacha. Ona mambo zari anayofanya ya maana sio huyo celebrity fake wa kutegemea kuchunwa unajiabisha. Chezea ccm wewe sio vilaza. Hamia chadema watakupa viti maalum