Advertisements

Wednesday, July 29, 2015

Dr Slaa Akiongea kuhusu Ufisadi wa Lowassa

9 comments:

Anonymous said...

Hata mneleta picha gani. Haya yote tunajua yalikuwa kuchafuana kisiasa tu. Halafu mwenye hii blog unaonekana kama mjukuu wa ccm. Sasa mbona tunazika baba watoto na wajukuu wa ccm? Nani atasimamia tena blog? Hamia Ukawa muda bado mbichi.

Anonymous said...

Ikulu si mchezo. Maneno yako mwenyewe unayakataaaa. Mimi nahisi watu walimnukuu vibaya Dr. Slaa. Hakumaanisha hayo anayoyesema. Alikuwa ana maana Lowasa ni mchapa kazi sana. Dr. Slaa ni mtu wa Mungu, ili uelewe vizuri maana ya anachozungumza inabidi uwe na upako. Hongera Ukawa. Njia nyeupe kuelekea Ikulu. Na vyeo tumeshagawana.

Anonymous said...

What's the point of bringing this clip????? Whole country has been tired and wants to see change not ccm whom have been in power for decades still water, power rationing..... We mpwa kajiunge na ukawa unless washa ku promise vi hela hao ccm

Anonymous said...

Tatizo la chadema na ukawa kwa ujumla kamwe hawataki kusikia au kuambiwa ukweli juu ya manyago yao . Mtu akiwakosoa kidogo tu Ooh CCM huyo,CCM huyo. Ndio CCM ni mtanzania na mtanzania ni CCM hawezi kukaa kimya tu kuridhia kufanyiwa utapeli wa kisiasa na uwongo wa hali ya juu na kundi la watu ambalo sasa limejidhihirisha kuwa ni wababaishaji wa hali ya juu ( flip flippers)
Zitto kabwe kawaambia ukweli Ooh CCM huyo ,CCM huyo mfukuzeni . Zitto kabwe is a smart young man alikuwa anamalengo ya kukisaidia chama chake kwa sababu alishaona uongozi wote wa chadema haupo pale kwa maslahi ya chadema na watanzania bali wapo pale kwa maslahi yao binafasi na kama kuna kosa watanzania wanaweza kulifanya katika historia ya chi hii basi wajekujipindua na kukubali kutapeliwa na kuikabidhi nchi yao kwa kuichagua ukawa sifikirii tupo wajinga kiasi hicho. Ushahidi wote upo wa magazeti,wa videos, kutoka bungeni hadi kwenye mikutano yenu ya mihadhara kuhusiana na ufisadi na mafisadi papa wakuu wanaoitafuna nchi hii na kwa kauli zenu Lowa ni fisadi papa namba moja. Na bado wakati ukifika mengi ya na kushangaza yatatoka kuhusiana na chadema kwa ujumla.

Anonymous said...

CHADEMA MAJANGAAAAAA CCM WATAWABURUZAAAAAAAAAA TUUUUU

Anonymous said...

Mwenye hii blog kumbe ni Chama cha mafisadi ( ccm)

Anonymous said...

Wamesha mwosha chui kwa JIK sasa wanataka wananchi wamuone kama ni mbuzi.

Anonymous said...

Ndiye anayejidai kutuandikia maoni marefu hapo hatutakaa tutikiswe na maneno ya mfumo mbovu wa ccm. Tumewachoka ninyi Walagai wakubwa. Mwenye hii block. Usituchanganye na ccm yako.

Unknown said...

Tukajiandikishe then tukutane Octoba