Advertisements

Monday, July 6, 2015

DALLAS WE ACHA TU NI KULA BATA MPAKA KUKU WANAONA WIVU

 Wadau wakiwa wamekutana kwenye mgahawa wa Africa Fusion uliopo Dallas, Texas kupata menyu siku ya Jumamosi July 4, 2015
 Wadau wakipata picha ya pamoja ndani ya mgahawa wa Africa Fusion.
 Andrew(kulia) akipaya picha na Mpwa.
 Wadau wa Dallas wakiwa kwenye nyama choma siku ya Jumapili July 5, 2015.
 Wadau wa Dallas wakipata picha ya pamoja.
 kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: