Advertisements

Thursday, May 28, 2015

EXCLUSIVE: ALLY REHMTULA ATAFUTA MWANAMKE WA KUOA


Ni exclusive news kutoka kwa Fashion Designer Ally Rehmtullah, ambaye 2014 alimake headline kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kuandaa keki kwenye birthday yake iliyoleta utata katika jamii kufuatia shape ya keki hiyo kuwa na umbile la mwanaume na hatimaye Ally kunyonya umbo lenye shape ya uume kwenye ile keki. Mbali na hilo hii ni mpya nyingine kutoka kwa designer huyo ambaye ametoa exclusive nyingine ya kutafuta mke
Wakati akifanya exclusive mahojiano na mwandishi wetu alizungumzia alifafanua kuwa. “Sasa hivi najiona nimezeeka coz nina 28 old, sina motto hata mmoja wala mke, so niwakati wangu sasa now natafuta mke niuoe, kwa mwanamke anaye taka kuolewa aje kwangu”. Alisema Ally
Credit:Team Tz

8 comments:

Anonymous said...

kumradhi lakini mbona kaka kike kike huyu.

Anonymous said...

Anatafuta mke wa pambo kuzuga umma sio? Huyu ukimwangalia wala hakuna maswali mengi unajua huyu ni wa pande ile:-) Sasa mke na yeye wapi kwa wapi:-) teh teh

Anonymous said...

Awake contact zake atapata wengi tu wa kumpigia aibu yake

Anonymous said...

Sipendi ku judge watu but huyu kaka mbona amekaa kama mnofu vile,yasije kuwa yaleyale ya Bruce Jenna,just saying

Anonymous said...

Closeted gay men .Wanaume wengi sana ni gay ila wanafanya Siri hawa ni watu mashuhuri ambao walioa na KUZAA Lakini inside ni gay .BRUCE JENNER,KANYE WEST ( in a closet) WILL SMITH ( in a closet ) MIKE JOHNSON ( basketballer HIV in a closet ) , Sisi wanawake bwana sijui tunapenda NDOA za nini na uvumilivu wa kijinga kijinga huku unatumika .women who marry or date closeted men wanao tea feathers or beards .

Anonymous said...

Looking for a beard or feathers .come out from the closet and get a man .Its time for gay parade in Tanzania

Anonymous said...

As longer anapesa I'm so ready kwa Sababu sitokuwa nawaza sex kila siku .Halafu shopping .Mimi nishawahi date 2 gay men yaani raha mnoo maana mwanaume anakuwa servant Halafu style fashion .kila kitu kizuri Halafu unajua gay men wanajitunza na wanatumia condom .wanaume straight especially wa KIBONGO uwiiii hawajali wao pekupeku tuu.ukimwi Mara wamezaa huku.Wekeni number Yake ya simu watu tumtongoze

Anonymous said...

Hivi Le mutuz siaandae gay parade .Atakuwa mashuhuri zaidi maana anaupenda umashihuri