Advertisements

Sunday, April 12, 2015

CHAKULA CHA MCHANA JUMAPILI BAADA YA HARUSI YA SUZAN NA OSWALD, BIRMINGHAM ALABAMA

Wadau wakijumuika pamoja nyumbani kwa maharusi siku ya Jumapili April 12, 2015 kwa chakula cha jioni na kuwapongeza maharusi Oswald na Susan walivyokua ghari ghari siku ya harusi yao Jumamosi April 11, 2015 Burmingham Alabama na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya dunia.
Wadau wakijumuika pamoja kwenye Lunch ya usiku nyumbani kwa maharusi
Wadau wakipata stori mbili tatu walipokutana nyumbani kwa maharusi siku ya Jumapili April 12, 2015 Burmingham, Alabama.
Wadau wakibadilishana mawili matatu
Mazungumuzo yakiendelea huku kila mtu akihadithia jinsi harusi ilivyopendeza.
wakina dada nao wakihadithiana maswala ya harusi
Bwana harusi Oswald akionekana mchovu bado na akisikika akisema " sherehe si kitu kidogo"
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: