Advertisements

Saturday, December 27, 2014

Mr and Mrs Gibacha walivyosheherekea Xmass nyumbani kwao Virginia na wageni wao.

 Bwana na Bibi Gibacha wakiwa na wageni wao siku ya Krismai nyumbani kwao Virginia walipokuwa wakisherehekea siku hiyo katika picha Bi Gibacha akiwa katikati akipata picha ya kumbukumbu na wageni wake
 Wageni wa Bwana na Bibi Gibacha wakiwa katika picha ya pamoja
 Wageni wa Gibacha wakiwa mezani tayari kwa chakula
Wageni wakipata picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: