Advertisements

Saturday, December 27, 2014

BAADA YA KUDAIWA KUTOA MIMBA 2 . PENNY: DIAMOND HANA UWEZO WAKUPA MWANAMKE UJAUZITO

BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba.

CHANZO CHA YOTE

Akizungumza na GlobalTV Online kwenye ofisi za gazeti hili Bamaga-Mwenge jijini Dar, hivi karibuni, Diamond alifunguka: “Nilimpa (Penny) mimba ya kwanza, sikuamini ikabidi twende naye hospitalini tukapime, akaambiwa anayo…nikafurahi nikampiga na ndinga (gari) mpya siku hiyohiyo, nikamwambia mama tulia unizalie mwanangu.

“Sikukaa sana akaniletea maneno…oooh mara hivi mara vile…eti imetoka. Nikasema poa, labda haikuwa riziki. Nikampa ya pili, nayo pia akatoa. Nikasema bora niachane naye na huo ndiyo ukawa mwisho wa mimi na Penny.”

KILICHOFUATA

Baada ya habari hiyo kuchapishwa kwenye gazeti ndugu la hili, Amani wiki iliyopita, Penny alijibu mapigo na kudai kwamba ni kweli staa huyo alikuwa akimridhisha kimapenzi lakini hakuwa na uwezo wa kumpachika mimba kama alivyodai.“Diamond ni mwanaume kama wanaume wengine lakini hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, muulizeni vizuri tatizo ni nini,” alisema Penny.

DIAMOND ANASEMAJE?

Alipofikishiwa taarifa hizo, Diamond hakutaka kufunguka kwa madai kwamba kuna vitu huwa hataki kuvisema kwa kuwa ni mtoto wa kiume na huwa anahifadhi siri nyingi za wanawake.

DIAMOND ANA TATIZO?

Kwa mujibu wa Penny ni kwamba alikuwa akimridhisha vizuri kimapenzi hivyo hana tatizo la nguvu za kiume isipokuwa hawezi kumpa mwanamke kibendi.

KITAALAM ZAIDI

Akizungumzia tatizo la Diamond (kama maelezo ya Penny ni kweli), mtaalam wa masula ya tiba ya uzazi wa gazeti hili (jina tunalo) alisema kuwa mwanaume anaweza kumridhisha vizuri mwanamke wanapokuwa kitandani isipokuwa akashindwa kumpa ujauzito.

“Tatizo la kutopata ujauzito, maana yake mume na mke walio katika uhusiano wa kutafuta mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini wameshindwa.“Inaweza ikawa zaidi ya mwaka mmoja lakini wastani wa kiwango cha chini ni mwaka mmoja.“Ni tatizo kubwa katika jamii kwani kila mmoja anataka afikie malengo ya kuwa na familia kama anavyotaka Diamond.“Mwanamke na mwanaume wote wanahusika katika tatizo hili japo mara nyingi huonekana ni la mwanamke.
CREDIT:THE CHOICE

3 comments:

Anonymous said...

Really? Why do we need to know this? Women have a right to have babies with men of their choice. Diamond or whatever his real name is can not decide whether Penny or any other woman should carry his baby. If he really wants to be a father he can hire a surrogate mother.

Anonymous said...

yes we need to know about this because you guys/dude you treat women so badly and thinking you are really man and coming out in the media with full of s h it talk, ooh I need this type of woman and this and that, hamna maana pesa mmoja na hamna hoja mmebakia na viroja.

so now any dude coming out here acting funny or thing he is really a man,while only outside he is inside his sparms don't function and cant produced babies we will let them know.

I love this story.Penny umepigiala msumari wa mwisho kwa domo kubwa diamond.

mwanamme mzuri nje tu kama box la Samsung glaxy 7 kumbe ndani kibua.haaaaaaaaaaa cheko lako hilo diamond.

Anonymous said...

are you for really dude how can he hire a surrogate mother when his sparm does not produced babies?or may be you should tell us how that process of getting a surrogative mother when you as a man you cant produced any babies.

you crack me up man, it pain you a lot as a man to know that some of you are so cute but you cant produced any babies. UZURI NA UBISHOO WA BURE TU. MWANAMME KUMJAZA MWANAMMKE MIMBA SI MWANAMME MIDEVU DEVU NA NYWELE ZAKE ZA DOWN.