Advertisements

Sunday, November 23, 2014

JACQUELINE & ANDREW'S BABY SHOWER YAFANA COLLEGE PARK, MARYLAND NCHINI MAREKANI


Kushoto ni Bwn. Ngayoma katika picha ya pamoja na Jacqueline na Andrew wakati wakijiandaa kuingia ukumbini Hampton Inn kwenye tafrija ya kumkaribisha  mtoto (baby shower) iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 College Park, Maryland nchini Marekani.

Jacqueline na Andrew wakiingia ukumbini kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto wao wa kiume iliyofanyika Hampton Inn iliyopo College Park Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014

Jacqueline na Andrew wakiwa meza kuu

Dada tuma mshereheshaji maarufu nchini Marekani akifanya vitu vyake.

Mchungaji John Mbatta akifanya maombi

Jacqueline na Andrew wakipata chakula.

kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: