Advertisements

Wednesday, October 29, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO BONGO

Hamza Mandia Brooklyn. NY akiwa na mdhamini wa pendo lake baada ya kufunga ndoa timu ya vijimambo ina wapongeza na kuwataki furaha na afya njema katika maisha yao ya ndoa.

3 comments:

Anonymous said...

hongera shekh Hamza nakutakia kila la heri katika maisha yenu ya ndoa na mwenyezi mungu awaongoze inshallah..kocha wako new york

Anonymous said...

mwanamke mzuri mashallah mtunze kama uwa hamzaa.kila la kheir.

Anonymous said...

Hongera sana Mr and Mrs Mandia. Mungu awatangulie katika ndoa yenu. she is gorgeous