Advertisements

Monday, September 29, 2014

Mama Salma Kikwete Apokea Mashine ya Mammogram.

Mheshimiwa,Mama salma Kikwete apokea Mashine ya Mammogram kwa niaba ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), ambayo alikabidhiwa na wakina Mama wa TANO Ladies,wakishirikiana na African Women's Cancer Awareness Association (AWCAA), iliyotewa siku ya ijumaa,tarehe 26 septemba katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC.Hafla hiyo ilisimamiwa na  Afisa utawala wa ubalozi wa Tanzania mama L Munanka,kwa niaba ya Mheshimiwa Balozi Mama L. Mulamula.

Mama Ify Anne Nwabukwu ,Muanzilishi & Mkurugenzi  
 mkuu wa taasisi ya AWCAA akimkabidhi Mh.Mama Salma Kikwete picha ya mashine hiyo.

Wakina Mama wa TANO Ladies katika picha ya pamoja na Mh. Mama Kikwete.




 Wakina Mama wa TANO Ladies wakiwa na Taasisi ya Childbirth survival International.


 TEAM TANZANIA.


 Ghafla hiyo ili malizika kwa kupata vitafunwa na vinywaji.
 Mh. Mama Kikwete akiwa na baadhi ya Survivor wa Saratani mbali mbali.




 Mwenyekiti wa TANO Ladies Asha Hariz. akitoa Shukrani kwa wakina Mama Wote waliohudhuria kwa niaba ya wenzake.









 Picha zote kwa hisani ya www.iskajojostudios.com

1 comment:

Anonymous said...

Job Well done dada zetu watano. Wakina mama wa Tanzania watanufaika sana na hii machine. Mwenyezi Mungu awabariki.