Advertisements

Monday, September 15, 2014

HENDRIC NA FLORENCE WAMEREMETA

Hendrich Nambira au Kenny kama anavyojulika kwenye mchezo wa Mambo hayo katika runinga ITV,
Alifunga pingu za maisha na mke wake Florence kutoka Visiwani Zanzibar. Harusi ilifanyika kanisa la Anglican UMCA, Upanga DSM tarehe 23/08/2014. Mama Bishanga na mumewe hawakuwahi siku ya harusi hiyo iliopendeza sana na kuhudhuriwa na wazazi wakimwemo wadogo wa mama Bishanga Mack Innocent Hatia na Constancia Innocent Hatia, baba mkubwa mzee John Kamota na shangazi Rehema Kamota, bibi wa Kenny mwalimu Agnes Innocent Hatia na ndugu zetu wengine, pia marafiki na wawakilishi wa wasanii toka Bongo movie. Sherehe ya kukata na shoka ilifanyika Lion Hotel.
Herry mtoto wa mama Bishanga anaejulikana kama Kenny kwneye mchezo wa ITV Mambo hayo, amefunga ndoa August 23. na mkewe Florence toka Zanzibar, katika kanisa la ST Albano Upanga DSM. Na kufanya sherehe kubwa ukumbi wa Lions Hotel.
 Mr na Mrs Herry/ Hendich wakiwa pwani Oster Bay,


No comments: