MAHABA NIUE YA BILLIONEA MENGI NA K-LYINN WATU MKUBALI TU KAMA KWELI WANAPENDANA
Ni mapenzi ya kweli haya wala siyo cinema ya bongo movie wala siyo tamthiiria ya Sunche na Kapeto. Miss K-Lyinn ndani ya mahaba niue kama king na queen vile Safi sana.
7 comments:
Anonymous
said...
Hamna penzi hapo! Kama wanavyosema, "hapendwi mtu linapendwa pochi, mapenzi yao ni photocopy" lazima kuna watatu hapo " wa kwanza wa kumchuna, wa pili wa kumtafuna na wa tatu wa kumkuna".
Ha ha ha Inakuuma ukiona libe anapata endorsement,mwindozi wewe idd basi au unaona hata hiyana kumuweka terrishomari,kazi mnayo.uliweka ya dj jo baadae ukafuta.shame.tunashinda
si mchezo dj luke hii ni kweli au fix, duu mkuu wewe mwisho kama umeweza kutoletea habari hii moto moto. nilikuwa najiuliza huyu k-lyinn yupo wapi siku hizi hata muziki wake hatusikia kumbe kafichwa na mzee wa kazi baba wa mjii.
si mchezo. dj luke ahsante kwa kutupa kali kali kama za pepe kali.
ndo mapenzi ya bongo haya siku hizi wasichana wadogo/serengeti girls na majemba mijitu mizima. na sometimes wavulana wadogo wadogo serengeti boys na mijimama mijitu mizima.
dunia ina maambo kweli haya mapenzi tujiulize.kuku na kifaranga
Nyie manjemba na machekibobu endeleeni kulia mpaka mchoke. Maneno yenu ya kashifa hayana maana wala hayasaidii kitu. Mwanamke yeyote duniani anataka mume mwenye uwezo hata akiwa na mali yake mwenyewe. Sasa mnataka huyu binti awapende nyie wakati hamna hata ndururu ya kununulia mswaki ? Acheni maneno yenu yasiyokuwa na maana. Iliyobaki msalimu amri. Uwoooooooo!
7 comments:
Hamna penzi hapo! Kama wanavyosema, "hapendwi mtu linapendwa pochi, mapenzi yao ni photocopy" lazima kuna watatu hapo " wa kwanza wa kumchuna, wa pili wa kumtafuna na wa tatu wa kumkuna".
Shikamoo pesa
Ha ha ha
Inakuuma ukiona libe anapata endorsement,mwindozi wewe idd basi au unaona hata hiyana kumuweka terrishomari,kazi mnayo.uliweka ya dj jo baadae ukafuta.shame.tunashinda
si mchezo dj luke hii ni kweli au fix, duu mkuu wewe mwisho kama umeweza kutoletea habari hii moto moto.
nilikuwa najiuliza huyu k-lyinn yupo wapi siku hizi hata muziki wake hatusikia kumbe kafichwa na mzee wa kazi baba wa mjii.
si mchezo.
dj luke ahsante kwa kutupa kali kali kama za pepe kali.
ndo mapenzi ya bongo haya siku hizi wasichana wadogo/serengeti girls na majemba mijitu mizima.
na sometimes wavulana wadogo wadogo serengeti boys na mijimama mijitu mizima.
dunia ina maambo kweli haya mapenzi tujiulize.kuku na kifaranga
Kwa kisu alichonacho mzee, unauwezo wa kuchukua kitu wakati wowote, mahali popote na mtoto asigune

Post a Comment