Advertisements

Wednesday, July 23, 2014

HII SASA KALI:WASICHANA WANATUMIA SABUNI KUREJESHA BIKIRA

Baadhi ya wanawake na wasichana huko nchini Kenya wanatumia sabuni inayodaiwa kurejesha usichana yaani 'ubikra'. Sabuni hizo zinadaiwa kukaza misuli ya sehemu za uke na hivyo kuimarisha raha wakati wa kushiriki tendo la ngono na mwanaume.
Baadhi ya wasichana waliohijiwa na BBC mjini Nairobi wamekiri kutumia sababu hiyo na kusema kuwa imeweza kubana misuli ya uke na kurejesha hali ya ubikira. Hata hivyo mtaalam wa magonjwa ya wanawake kutoka nchini Tanzania anasema kutumia sabuni pamoja na kemikali nyingine kwenye uke ni hatari.

Mtaalam huyo amewashauri wanawake kuacha kutumia kemikali kwani pia inaweza kuwaletea magonjwa mengine kama vile saratani.(bbc)

1 comment:

Anonymous said...

aliyoyasema ni kweli mtaalam wa kitanzania na namuunga mkona kutumia hizo sabuni na kemikali zinginewe ni hatari kwa wanawake zinaweza kuleta madhara mengi tu si bora tu mtu ujitunze uke wako na kujiheshimu mpaka hiyo siku ya kuolewa ndo utoke.mchapuko mbaya baadaye dada zetu mnayatafuta haya.