Advertisements

Saturday, July 21, 2012

TAWI LA CCM DMV LAGAWA KADI

Mwenyekiti wa CCM Loveness Mamuya akimkabithi kadi ya CCM, Mwenyekiti wa DIKOTA Metropolitan bwana Faraja Isingo
Wakifurahia kadi zao na kupeperusha bendera 
Wajumbe na viongozi wakimkaribisha mwenyekiti wa metropolitan Daikota Faraja akijiunga na kuchukua kadi zao za CCM oyeee 
CCM JUUU
Hidaya Mahita na Mwenyekiti wa CCM Loveness Mamuya wakipeperusha pendera ya CCM!!!!! 
Zayb ndani ya nyumba!!!! Mwanachama/Kada aliyechanjiwa damu na CCM.
Hidaya Mahita Mjumbe wa CCM DMV, Shabani Mseba katibu wa CCM Newyork, Loveness Mamuya mwenyekiti wa CCM DMV na Jacob Kinyemi katibu wa CCM DMV.
Mwenyekiti Loveness na Katibu Jacob Kinyemi
Mwenyekiti Loveness akiwa na Hidaya Mahita

No comments: