Advertisements

Sunday, July 22, 2012

IBADA NA MAZISHI YA JEFFRIE JONES



Watanzania, Ndugu, Jamaa na marafiki wakiwa kwenye Ibada ya kumuaga aliekuwa mume wa Florah Mnkande Jeffrie Bernard Jones iliyofanyika katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministris na baadae mazishiyaliyofanyika Jumamosi July 21, 2012 katika makaburi ya Gate of Heaven Cemetery yaliopo barabara ya  Georgia Avenue Silver Spring, Maryland, 
Wapili toka kushoto ni ni Mke wa Marehemu  akiwa pamoja na watoto, ndugu, jamaa na marafiki wakifuatilia Ibada ya kumuaga Jeffrie Jones
Baadhi ya waTanzania mbali mbali walihudhuria katika ibaada ya kumuaga marehemu Jeffrie Jones akiwemo Rais wa Jumuia ya Watanzania DMV. Iddi Sandally wa kwanza kulia.
Watu mbali mbali waliohudhuria katika Ibaada ya kumuaga marehemu Jeffries Jones
Wanakwaya wa kanisa la “The Way of the Cross Gospel Ministries”  wakimtukuza Mungu.kwa nyimbo za Injili
 Mke wa marehemu, Florah Mnkande akimuaga  mpenzi mume wake kwa majonzi na masikitiko katika ibada ya kumuaga Jeffrie Jones ilyofanyika katika kanisa la The Way Of The Cross Gospel Ministries lililopo Collede Park, Maryland.
Jenezza lililobeba mwili wa marehemu Jeffrie Bernard Jones likitolewa kwenye gari kupelekwa katika nyumba yake ya milele kwenye makaburi ya Gate of Heaven Cemetery
Kulia ni Mke wa Marehemu Florah Mnkande katika picha ya pamoja na watoto
Jeneza la Jeffries Jones likiwa juu ya nyumba yake ya milele katika makaburi ya Gate of Heaven Cemetery yaliopo barabara ya  Georgia Avenue Silver Spring, Maryland
Matayarisho ya mwisho mwisho ya kumpumzisha Jeffrie Jones kwenye nyumba yake ya milele

Ndugu, Jamaa, na marafiki waliofika kumsindikiza Jeffrie Jones kwenye makazi yake ya milele.
 Picha kwa hisani ya Swahili Villa Blog

No comments: